sw.cartoon

Kulingana Na Ripoti, Papa Francis Awatupia Hasira Wafuasi Wake.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsQbutcrtblx

122
sw.news

Francis Ampa Charlie Cheti Cha Kusafiri Cha Vatikani

Papa Francis alimpa Pasipoti ya Vatikani raia wa Uingereza mwenye umri wa miezi 11 Charlie Gard, vyombo vya habari vya Italia vimetangaza. Charlie yuko hatarini ya kuuawa kifo cha huruma nchini Uingereza kwani anaugua kutokana na ugonjwa nadra. Cheti hicho kitamwezesha kusafiri kwenda kwenye hospitali ya watoto ya Vatikani.
#newsZqlznntafu

73
ig.news

Ozo: Pope Francis juru igbu ikpere na ihu ihe di nso

Pope Francis mere nmenme Corpus Christi na basilica nke Saint John Lateran. Nke bu nke mbu yaka agbanwere nmenme sita n'ubochi Thursday gaa na Sunday. Na ozi ya, Pope Francis kporo oriri nso dika nri di nwayo kwesiri ina akpoghachi nmuo ulo.
O juru irube isi mgbe o na-agosi oriri nso a dika emere ya ka oha hu ya. Osoghikwa mee ngaghari ma omechiri ya na Santa Maria Maggiore, ozo kwa osekwughi n'iri chineke.
#newsTxatxpswnn

106
Guntherus de Thuringia

Qu.

05:26
22
RAFAEL MEDINA MEDINA

Muujiza wa Ekaristi uliotokea wakati wa Misa iliyoadhimishwa na Askofu Claudio Gatti, huko Roma, Italia

Kurasa 6
72
sw.cartoon

Sauti Tulivu Hazikaribishwa Katika Vatikani Ya Papa Francis.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsIunzxneznl

110
sw.news

Askofu Wa Brazil: "Ushoga Ni Zawadi Kutoka Kwa Mungu

Ushoga sio chaguo wala maradhi ila ni zawadi kutoka kwa Mungu kulingana na Askofu Antônio Carlos Cruz Santos wa Caicó, nchini Brazil. Wakati wa hotuba yake mnamo tarehe 30 mwezi wa Julai iliyochapishwa kama video kwenye mtandao wa intaneti, Santos aliwalinganisha shoga na watu weusi ambao "hawakuonekana kama binadamu kwa sababu ya chuki".
Kulingana naye shoga waamilifu wanafaa "kukaribishwa" Kanisani kwani"neema" ni muhimu zaidi. Alinukuu kauli tatanishi ya Papa Francis, "Mimi ni nani kuwahukumu?"
Picha: Antônio Carlos Cruz Santos, #newsMrkiijquqs

106

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa.
Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi

31
carlos padila

NUEVA MISA CVII - MALACHI

145
Denis Efimov

Así es.

HP Y GC

Chapelet au Karmel

25:51
21
sw.cartoon

Francis Alimwalika Kadinali Mjerumani Marx Kwa Muda Mfupi Kujadili Ekaristi Kwa Waprotestanti.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsZvbpsxnams

357
sw.news

Maaskofu Wa Brazil Kuwaingiza Wazini Kwenye Ekaristi

Baraza la Maaskofu wa Brazil lakubalisha; katika mwongozo mpya wa Amoris Laetitia wazini kupokea Ekaristi, kulingana na taarifa za cruxnow.com.
Maaskofu hao wameandika kuwa baada ya utaratibu wa kufahamu "ufikivu uliodhibitiwa" huenda ukarejea kwenya maisha ya Ekaristi. Kama mfano Maaskofu hao wameorodhesha uwepo wa watoto ama "hali fulani za kimaadili" ambazo kulingana na Maaskofu hao husemekana "hubatilisha jukumu la kiadili la vitendo haramu".
Amri hizi zilizobuniwa na Maaskofu hao zinahitilafiana na maneno ya Yesu Kristo na mafunzo ya Kanisa.
Picha: © Antoine Mekary, Aleteia, CC BY-SA, #newsBgrztzmdts

51
sw.cartoon

Kadinali Zen Aliambia Kituo Cha EWTN Kwamba Angechora Kibonzo Kikimwashiria Francis Kapiga Mgoti Huku Akiupa Utawala Wa China Vifunguo Vya Peter.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsWfkehjmrpd

102
sw.news

Tena: Papa Francis Akataa Kupiga Magoti Mbele Ya Ekaristi Takatifu

Jumapili usiku, Papa Francis alisherehekea Corpus Christi katika Basilika la Mtakatifu John Lateran. Kwa mara ya kwanza sherehe yake ya upapa ilihamishwa kutoka siku ya Alhamisi hadi siku ya Jumaipili. Katika hotuba yake Francis aliita Sakramenti ya Altari " chakula kinyenyekevu, ambacho huponya kwa upendo kumbuko letu, lililojeruhiwa na mwendo wa kasi wa maisha."
Alikataa kupiga magoti wakati wa wakifu, na vile vile mbele ya Sakramenti takatifu, ambalo lilifichuliwa baada ya Misa. Wala hakushiriki katika msafara, ila aliuhitimisha katika Santa Maria Maggiore, ambapo kwa mara nyingine alikataa kupiga magoti mbele ya uwepo halisi wa Bwana Wetu.
#newsTxatxpswnn

109
noi_cattolici

Dr. Barbara Balanzoni

20:00
66
sw.cartoon

Kutokuwepo Kwa Kadinali Pell Ni Mojawapo Wa Sababu Ya Kufeli Kwa Marekebisho Ya Vatikani.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsAqeenwygww

117
sw.news

Padre Msenge Kwenye Kituo Cha Televisheni Cha Kitaifa

Mnamo tarehe 23 mwezi wa Julai Padre Richard Geoghegan, baba paroko wa Ballyneale, Dayosisi ya Waterford and Lismore, nchini Ireland, aliigiza kwenye kipindi kilichokuwa katika kituo cha televisheni cha kitaifa (RTE 1) kama msenge. Geoghegan alisema kuwa alikuwa na "talanta ya kuigiza kama mtu wa jinsia tofauti" na kuwa anaiga mfano ambao Yesu aliuhubiri kuhusu kutozificha talanta alizopatiwa mtu chini ya debe ila azitumie. Geoghegan ana mkusanyo wa nywele na viatu vya wanawake. Askofu wa Padre Geoghegan ni Monsignor Alphonsus Cullian ambaye ni wa karibu sana na Opus Dei.
Picha: Richard Geoghegan, Irish National TV, #newsMuzsjuqgtp

111